4 Machi 2025

03:16
03:16
Sikiliza zaidi
Dondoo za TRT Afrika
Janga la kibinadamu huko Gaza linazidi kuwa mbaya, huku bei ya vyakula ikipanda kufuatia na kufungwa mpaka na Israeli, Rais Erdogan wa Uturuki atoa wito wa kuwepo kwa kura ya turufu ya Kiislamu katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
Na Yusuf Dayo
Sikiliza zaidi