| Swahili
Malkia wa Taarab Khadija Kopa ni nani?
03:24
Maisha
Malkia wa Taarab Khadija Kopa ni nani?
Malkia wa Taarab Khadija Kopa ni nani? Hii hapa ni safari ya muziki ya Khadija Kopa katia muziki wa Taarab.
8 Oktoba 2024

Khadija Kopa ameshiriki katika makundi mbalimbali kama vile Culture Musical Club, Muungano Cultural Troupe na Tanzania One Theatre maarufu kama TOT.

Baadhi ya nyimbo zake maarufu ni kama vile 'TX Mpenzi', 'Top in Town', 'Gwiji', 'Unaringa Umepima' na 'Tutabanana hapahapa'.

Watoto wake wawili pia walifuata nyayo zake katika uimbaji, akiwemo Omari Kopa aliyefariki dunia mwaka 2008 na Zuchu, msanii nyota wa Bongo Flava kutoka nchini Tanzania.

Tazama Video zaidi
Tanzania yaingia katika orodha ya nchi zinazozalisha gesi ya Helium
Uganda: Biashara ya usafiri si ya watu binafsi
Afrika ndilo bara la pili katika uzalishaji wa asali duniani | Utajiri wa Afrika
Charles Kibe Mwangi na simulizi ya njiti ya ufagio
Je, unaijua nchi ya Iran?
Je, Ufaransa Ilifanya nini Cameroon? Ukweli wafichuka
Raila Odinga asimulia alivyotumia pasipoti ya Tanganyika kusafiria
Eunice: 'Mimi naweza chochote' | Story Yangu
Bwana Chui Bin Kositi: Shujaa wa Uadilifu kutoka Congo
Wanafunzi wasichana wapata mafunzo ya teknolojia nchini Kenya