| Swahili
ULIMWENGU
1 dk kusoma
Infografiki: Nchi zenye simba wengi duniani
Kuna simba wengi barani Afrika, lakini idadi hiyo inaendelea kupungua. Makadirio yanaonesha idadi ya simba ni kati ya 20,000 na 30,000 kote barani.
Infografiki: Nchi zenye simba wengi duniani
Infografiki: Nchi zenye simba wengi duniani / TRT Afrika Swahili
4 Desemba 2025