|
swahili
|
swahili
SIASA
UTURUKI
AFRIKA
JARIDA
MAONI
MICHEZO
Coletta Wanjohi
Journalist
Journalist
Makala za Mwandishi
Utajiri wa Afrika: Matumbawe ya Ushelisheli
Matumbawe yanasaidia msururu mkubwa wa viumbe vya baharini na yana jukumu muhimu katika kudumisha bayoanuwai ya baharini.
3 dk kusoma
Nini hatma ya Madagascar?
Maandamano nchini humo yalianza Septemba 25 na yalichochewa kwa kukatika mara kwa mara kwa huduma ya maji na umeme.
2 dk kusoma
Kenya yavuna mahindi katika mpango wa Galana Kulalu
Ekari 330 za mahindi zitavunwa kwa muda wa siku tano zijazo, maji yakiwa tayari yanapatikana kutoka kwenye mabwawa mawili madogo, mshirika binafsi aitwaye Selu Limited hivi karibuni ataweza kumwagilia ekari 6,300.
4 dk kusoma
Utajiri wa Afrika: Kasuku wa kijivu wa Afrika
Kasuku wa Kiafrika mwenye rangi ya kijivu anajulikana zaidi hasa kwa kuwa kati ya ndege wenye akili zaidi duniani
3 dk kusoma
Ali Muhammad Ali Abd-Al-Rahman kiongozi wa uhalifu wa kivita Darfur, Sudan
Mahakama ya ICC imempata Ali Muhammad Ali Abd-Al-Rahman na hatia ya makosa 27 ya uhalifu dhidi ya binadamu na uhalifu wa kivita, ikiwa ni pamoja na ubakaji, mauaji na mateso katika jimbo la Darfur.
2 dk kusoma
Utajiri wa Afrika: Mafuta ya Angola
Sekta ya nishati inasalia kuwa muhimu nchini Angola ikichukua karibu asilimia 75 ya pato la serikali
2 dk kusoma
Maafisa wa Kenya Haiti kurudi nyumbani
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeidhinisha kikosi kipya cha kimataifa cha Kupambana na Magenge (GSF) nchini Haiti na kuchukua nafasi ya ujumbe wa usaidizi wa usalama unaoongozwa na Kenya.
2 dk kusoma
Utajiri wa Afrika: Michoro ya miamba ya Malawi
Wataalamu wanasema michoro mingi ilitengezwa katika kipindi cha zaidi ya miaka 1,000 iliyopita, kufuatia kuhama kwa wakulima wa Chewa katika eneo hilo.
2 dk kusoma
Uganda : 'Bobi Wine' ateuliwa kama mgombea wa urais 2026
Aliwania wadhifa wa juu nchini mwaka 2021 lakini akashindwa na Rais aliye madarakani Yoweri Museveni.
2 dk kusoma
Uganda: Museveni ateuliwa rasmi kugombea urais
Museveni aliyeingia madarakani mwaka 1986 baada ya kuuondoa utawala wa kijeshi wa Jenerali Tito Okello, ameiongoza nchi hiyo tangu kipindi hicho.
2 dk kusoma