|
Swahili
|
Swahili
SIASA
UTURUKI
JARIDA
MAONI
MICHEZO
AFRIKA
Mustafa Abdulkadir
Copy Editor, TRT Afrika
Copy Editor, TRT Afrika
Makala za Mwandishi
Mkuu wa Majeshi wa Uganda aiomba radhi Marekani
Mkuu wa Majeshi nchini Uganda, Muhoozi Kainerugaba aiomba radhi Marekani kufuatia 'tweets' zake za awali.
1 dk kusoma
Pep Guardiola ameishiwa makali yake Man City?
Mancjester City sasa wameshinda mechi 2 tu kati ya mechi 7 walizocheza, hali inayoongeza shinikizo kwa Pep Guardiola.
1 dk kusoma
Sudan 2025: Vita, wakimbizi, na taifa lililogawanyika
Kufikia mwisho wa mwaka 2025, Sudan bado iko kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe.
4 dk kusoma
Tanzania yaadhimisha miaka 64 ya Uhuru huku kukiwa na hofu ya usalama
Tanzania Bara kwa kawaida, kila tarehe 9 Disemba huadhimisha Siku ya Uhuru, na mwaka huu taifa hilo linatimiza miaka 64 tangu lipate uhuru wake.
2 dk kusoma
Je, unaijua nchi ya Iran?
Iran, ikijulikana rasmi kama Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, ni taifa lililoko katika Asia ya Magharibi, katika eneo la kimkakati linalounganisha Asia ya Kati, Asia ya Kusini na Mashariki ya Kati.
1 dk kusoma
03:08
03:08
Arsenal kusitisha ushirikiano wake na Visit Rwanda
Baada ya miaka nane ya nembo ya Visit Rwanda kupamba bega la jezi za Arsenal, klabu hiyo ilitangaza kuwa itasitisha mkataba wa udhamini na Visit Rwanda ifikapo mwezi Juni 2026.
1 dk kusoma
'Demokrasia ya Tanzania majaribuni, bila uwepo wa upinzani Uchaguzi Mkuu 2025'
Tanzania inapoelekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, taifa hilo la Afrika Mashariki linaonekana kukumbwa na hali ya sintofahamu ya kisiasa, huku kukiwa na mvutano wa kisheria ulioigawa jamii ya nchi hiyo.
8 dk kusoma
Ni Gen Z pekee wenye kudai mabadiliko Kenya?
Tofauti na harakati za zamani zilizoongozwa na wanasiasa au wanaharakati maarufu, maandamano haya yalikuwa ya kizazi kipya: hayakuwa na kiongozi, hayakufadhiliwa, na hayakuzingatia vyama vya siasa.
4 dk kusoma
Zohran Kwame Mamdani, mzaliwa wa Uganda anayepigania kiti cha Umeya jijini New York
Zohran Mamdani amezaliwa jijini Kampala, Uganda na baadaye kuhamia Marekani akiwa na umri wa miaka 7.
2 dk kusoma
Umuhimu wa Hajj kwa Muislamu
Hijja ni nguzo ya tano ya Kiislamu, ni wajibu kwa mtu ambaye ana uwezo wa kiafya na kifedha kuhiji angalau mara moja katika maisha yake.
4 dk kusoma