Topic - Small Live Coverage
OPINION
Nigeria: Aliyemuua mwimbaji wa “Ekwueme” ahukumiwa kunyongwa
Mahakama ya Nigeria imetoa adhabu ya kunyongwa kwa Peter Nwachukwu ambaye alikuwa ni mume wa msanii huyo, baada ya kumkuta na hatia ya kumuua Osinachi, katika tukio lililotokea Aprili 8, 2022.





