01:12
Afrika
Mgombea Urais Tanzania aahidi kufuga mamba Ikulu
Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Wakulima (AAFP) Kunje Ngombale Mwiru, ameahidi kujenga bwawa la mamba Ikulu, iwapo Watanzania watampa ridhaa ya kuiongoza nchi hiyo.
10 Septemba 2025

Akizungumza jijini Morogoro hivi karibuni wakati wa kampeni za kunadi sera zake, Mwiru amesema kuwa kuwa analenga kupambana na mafisadi, ikiwemo kupambana na kukomesha vitendo vya kifisadi nchini Tanzania.

“Ndugu zangu, kiama cha mafisadi kinakuja. Mkinachagua tarehe 29, Ikulu yangu kutakuwa na bwawa la kufuga mamba. Ikulu yangu itakuwa na bwawa la kufuga mamba. Huyo mamba ni kwa ajili ya kitanzi cha mafisadi,” alibainisha.

Tazama Video zaidi
Mgombea wa Zanzibar: Ali Hassan Mwinyi
Uchaguzi Tanzania na ahadi Lukuki
Zitto ataka Kigoma iongoze kwa kila kitu
Luhaga Joelson Mpina: Panda shuka yake ya siasa ya Tanzania hadi upinzani
Afrika yajadili mabadiliko ya tabia nchi katika mkutano nchini Ethiopia
Uganda kupokea wahamiaji kutoka USA
Mpina: Sirudi CCM ng'oo
Chama cha upinzania Tanzania NLD chataka fursa sawa kuelekea Uchaguzi Mkuu
CHAUMMA yaahidi mageuzi ya uchumi
CCM yazindua kampeni kwa kishindo