3 Septemba 2025
Mgombea urais wa Zanzibar kupitia chama cha upinzani cha NLD ametaka mamlaka za nchi hiyo kutoa fursa sawa kwa wagombea wote hasa linapokuja suala la ulinzi kwa wagombea urais bila kujali itikadi ya vyama wanavyotoka.