31 Oktoba 2025
Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) ilimtangaza Dkt Hussein Ali Mwinyi kuwa mshindi wa uchaguzi wa urais visiwani humo.
Mwinyi,aligombea kupitia tawala Chama Cha Mapinduzi (CCM), na ushindi umempa ridhaa ya Wazanzibari kwa muhula wa pili.
Mwinyi alipata ushindi wa 74.8% wa kura zilizopiga.
