| Swahili
Rais Samia atangazwa mshindi
01:58
Afrika
Rais Samia atangazwa mshindi
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametangazwa mshindi wa uchaguzi wa urais nchini humo.
1 Novemba 2025

Tume ya uchaguzi ilimtangaza siku ya Jumamosi akipata asilimia 98 ya kura ambapo wapinzani wakuu hawakushiriki wengine wakiwa gerezani au kuzuiwa kugombea, hali iliyosababisha machafuko.

Tazama Video zaidi
Biashara ya Jezi yavuma Morocco
Utajiri wa Afrika: Twiga wa Afrika
Tanzania yafungua Afcon 2025 kwa kichapo cha 2-1 kutoka Nigeria
AFCON 2025 - "Afe beki, Afe kipa, kombe ni la Tanzania"
AFCON 2025: Michuano yafunguliwa rasmi
Hatimaye mlipuko wa volkano ya Hayli Gubbi ya Ethiopia wapungua
Mwinyi ashinda uchaguzi Zanzibar
Kura zinaendelea kuhesabiwa Tanzania
Ulinzi mkali jijini Dar es Salaam kufuatia Uchaguzi Mkuu
Raia wa Tanzania waanza kupiga kura