25 Desemba 2025
Mamalia hawa warefu zaidi ulimwenguni ni wa kuvutia sana kutokana na urefu wa shingo zao ndefu zenye madoa.
Kwa mujibu wa wanasayansi kuna aina nne za twiga Afrika, ambazo zinapatikana katika nchi 21, huku Afrika ikiwa na takriban twiga 140,000.

