| Swahili
Fei Toto: "Muhimu ulikuwa ni kuvuka hatua ya makundi"
00:51
Afrika
Fei Toto: "Muhimu ulikuwa ni kuvuka hatua ya makundi"
Wachezaji wa Tanzania wanasema umuhimu ulikuwa na kuhakikisha wanavuka hatua ya makundi kwa hivyo walipambana kupata matokeo
1 Januari 2026

Taifa Stars ya Tanzania imeonyesha moyo wa kupambana baada ya kutoka sare ya 1-1 dhidi ya Tunisia.

Matokeo hayo yameitosha Tanzania kufuzu hatua ya 16 bora ya AFCON, ikiendelea kuandika historia katika mashindano haya kwa mshikamano, nidhamu na azma ya kusonga mbele zaidi.

Tazama Video zaidi
Nyuma ya Kamera: Kisa cha picha maarufu ya Muhammad Ali
AFCON 2025: Ni Senegal au Morocco?
Kocha wa Morocco asema 'Hatubebwi na marefa'
Viwanja vya AFCON 2025 Morocco
Tanzania yaaga mashindano ya AFCON 2025
Biashara ya Jezi yavuma Morocco
Utajiri wa Afrika: Twiga wa Afrika
Tanzania yafungua Afcon 2025 kwa kichapo cha 2-1 kutoka Nigeria
AFCON 2025 - "Afe beki, Afe kipa, kombe ni la Tanzania"
AFCON 2025: Michuano yafunguliwa rasmi