1 Januari 2026
Taifa Stars ya Tanzania imeonyesha moyo wa kupambana baada ya kutoka sare ya 1-1 dhidi ya Tunisia.
Matokeo hayo yameitosha Tanzania kufuzu hatua ya 16 bora ya AFCON, ikiendelea kuandika historia katika mashindano haya kwa mshikamano, nidhamu na azma ya kusonga mbele zaidi.

