| Swahili
AFRIKA
2 DK KUSOMA
Kwa picha : Siku ya tatu ya mashindano ya kimataifa ya magari nchini Kenya
Serikali inasema hafla hiyo ya World Rally Championship inavutia zaidi ya wageni 100,000, na kuunda nafasi za kazi zenye thamani ya zaidi ya dola milioni 175.
Kwa picha : Siku ya tatu ya mashindano ya kimataifa ya magari nchini Kenya
mashindano ya magari ya safari rally yameingia siku ya tatu nchini Kenya  (WRC) msimu wa 2023  / Picha: AFP / AFP
24 Juni 2023

Mashindano hayo yamevutia timu 34 kutoka nchi 20

Mji wa Naivasha ndiyo kivutio kikuu nchini Kenya hasa kwa mashabiki wa magari .

Mashabiki wamebuni njia ya kuona magari ambayo yanapita mbali

Mashindano hayo yamevutia mashabiki kutoka nchi zingine pia kama nchi jirani ya Uganda

Kwa wale ambao lazima wafanye kazi lazima wavumilie wingu zito la vumbi linalozuka wakati magari yanapopita kwa mbio

Mashabiki wengine walitafuta maeneo ya starehe ili kutazama shindano hilo

Madereva nao wanajimudu ili kutoa msisimko ambao mashindano haya yanahusika nayo

CHANZO:TRT Afrika