| Swahili
ULIMWENGU
1 dk kusoma
Marekani yatoa ofa ya $3000 kwa wahamiaji kujiondoa nchini, nyongeza ya mara tatu
Idara ya Usalama wa Ndani ya Marekani (DHS) ilisema Jumatatu inatoa motisha ya muda, iliyoongezwa ili kuhimiza uhamishaji wa hiari kabla ya mwisho wa mwaka, na kuongeza mara tatu posho kutoka $1,000 hadi $3,000.
Marekani yatoa ofa ya $3000 kwa wahamiaji kujiondoa nchini, nyongeza ya mara tatu
Marekani imeongeza ofa yake kwa wahamiaji wasio na hati hadi $3,000 kutoka $1,000 hapo awali ili kuwashawishi kuondoka. /AP / AP
23 Desemba 2025

Idara ya Usalama wa Ndani ya Marekani (DHS) ilisema Jumatatu inatoa motisha ya muda iliyoongezwa ili kuhamasisha watu kuondoka kwa hiari kabla ya mwisho wa mwaka, ikiongeza posho kutoka $1,000 hadi $3,000.

Wahamiaji wasio na nyaraka ambao watasajili kuondoka kupitia app ya simu ya CBP Home watapokea pia tiketi ya ndege kuelekea nchi zao za nyumbani, lilisema shirika hilo.

Kusajiliwa kupitia app pia 'kunafanya wapokeaji kustahili kusamehewa faini za kiraia au adhabu zozote kwa kushindwa kuondoka nchini.'

Waziri wa Usalama wa Ndani Kristi Noem alisema 'bonasi ya kuondoka' iliyoongezwa inatumika tu hadi mwisho wa mwaka. Alisema tayari watu milioni 1.9 wame 'jiondoa kwa hiari' tangu Januari, na 'maelfu kadhaa wameitumia programu ya CBP Home.'

Aliwahimiza watu 'wachukue fursa ya zawadi hii na kujiondoa kwa hiari kwa sababu kama hawatafanya hivyo, tutawapata, tutawakamata, na hawatarudi tena.'

CHANZO:AA
Soma zaidi
Hofu yaongezeka miongoni mwa jamii ya Wasomali baada ya Trump kutuma maafisa 2,000 Minnesota
Trump atishia shambulio la pili Venezuela, aonya kuhusu operesheni nyingine Colombia
Dunia imepokea vipi shambulio la Marekani nchini Venezuela?
Mashambulizi ya Marekani nchini Venezuela yaliua takriban watu 40: ripoti
Mwanabondia Anthony Joshua arejea Uingereza baada ya ajali ya gari Nigeria
Je, ajenda ya Marekani kubadili mfumo itafanikiwa Venezuela?
Shutuma za kimataifa zaongezeka kutokana na mashambulizi ya Marekani dhidi ya Venezuela
Rais Maduro na mkewe wamelazimika kuondoka Venezuela, anasema Trump
Milipuko yatikisa Caracas kufuatia onyo la Trump la kushambulia Venezuela
Venezuela yawaachia wafungwa 88 wa maandamano ya baada ya uchaguzi
Maelfu waandamana jijini Istanbul kuunga mkono Wapalestina
Israel inataka kufuta vibali vya mashirika ya misaada Gaza na Ukingo wa Magharibi
Watu 6 wameuawa Syria kufuatia shambulio la msikitini wakati wa swala ya Ijumaa
Papa Leo azungumzia madhila ya Gaza katika mahubiri ya Krismasi yake ya kwanza
Papa Leo aadhimisha mkesha wa Krismasi kwa mara ya kwanza kama Baba Mtakatifu
Ubelgiji yajiunga katika kesi ya mauaji ya halaiki ya Afrika Kusini dhidi ya Israel
Trump awafuta kazi mabalozi 30 wa Marekani katika msukumo wa ajenda ya 'Amerika Kwanza'
Jenerali mwandamizi wa Urusi auawa katika shambulio la gari Moscow
Elon Musk anakuwa bilionea wa kwanza duniani wa $700b baada ya mkataba wa malipo wa Tesla kurejeshwa
Israel yashambulia kwa mabomu harusi ya Gaza na kuua Wapalestina 6 licha ya makubaliano ya amani