26 Oktoba 2025
Na kinachowavutia zaidi watu ni huduma zinazopatikana hapa ikiwemo mihogo ya kukaanga na mishkaki.
Kuna watu tayari wamefika hapa na hii ni dhahiri kwamba, licha ya kampeni za uchaguzi zinazoendelea, lakini maisha vile vile yanaendelea.
