OMO amezungumza hayo katika moja ya mikutano wa kampeni. Othman ni mgombea urais wa Zanzibar kupitia chama cha ACT Wazalendo.

01:17

01:17
Tazama Video zaidi
Othman Masoud Othman asema Zanzibar sio milki ya mtu
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Othman Masoud Othman ameseama Zanzibar sio milki ya mtu hivyo, chama chochote kinaweza kuchukua uongozi.
Tazama Video zaidi