29 Septemba 2025
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ambae pia ni mgombea urais wa Tanzania kupitia chama tawala CCM amesema kuwa katika vitu ambayo serikali yake itafanya itakapoingia madarakani baada ya uchaguzi ni kujenga uwanja mkubwa wa michezo katika eneo Msoga wilaya ya Chalinze, mkoani Pwani.
Rais Samia amesema kufanya hivyo itakuwa ni kutoa heshima maalum kwa uongozi wa aliyekuwa rais wa awamu ya nne