24 Septemba 2025
Akizungumza mkoani Mtwara wakati wa kampeni yake, mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), ameonesha imani kuwa chama chake kitashinda na kuweka heshima baada ya uchaguzi wa Oktoba 29, 2025.