17 Septemba 2025
Chama Cha Mapinduzi, CCM mara zote kimetangazwa mshindi, hivyo kukifanya kuwa moja ya vyama vya kisiasa vilivyotawala kwa muda mrefu zaidi barani Afrika.
Huku Tanzania ikijiandaa na Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, kuna mambo kadhaa ambayo yanatofautisha uchaguzi huu na uliopita.Tanzania imefanya uchaguzi mara sita tangu kuanzishwa kwa demokrasia ya vyama vingi mwaka 1995.
Chama Cha Mapinduzi, CCM mara zote kimetangazwa mshindi, hivyo kukifanya kuwa moja ya vyama vya kisiasa vilivyotawala kwa muda mrefu zaidi barani Afrika.
Huku Tanzania ikijiandaa na Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, kuna mambo kadhaa ambayo yanatofautisha uchaguzi huu na uliopita.