17 Septemba 2025
Tamaduni hizi zimekuwa zikitunzwa kwa miaka mingi. Ni kiti lakini hakikaliwi na wote kwa sababu ni wachache tu ndio walioteuliwa kukikalia, huku wanawake, vijana na watoto wakipigwa marufuku hata kukisogelea. Je, ni kitu gani kinachofanya kiti hiki kiwe cha kipekee?