| swahili
01:17
Afrika
Othman Masoud Othman asema Zanzibar sio milki ya mtu
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Othman Masoud Othman ameseama Zanzibar sio milki ya mtu hivyo, chama chochote kinaweza kuchukua uongozi.
1 Oktoba 2025

OMO amezungumza hayo katika moja ya mikutano wa kampeni. Othman ni mgombea urais wa Zanzibar kupitia chama cha ACT Wazalendo.

Tazama Video zaidi
ADC yaahidi kupunguza bei ya mchele Zanzibar
Rais Samia: ”Serikali kujenga uwanja wa michezo Msoga”
Mgombea Urais wa NCCR-Mageuzi asema yapo mazuri yaliyofanywa na Samia
Rais Samia: Twataka ushindi wa heshima
OMO: Utawala bora utaleta fursa Pemba
Tofauti ya uchaguzi mkuu Tanzania 2025
Kiti cha kipekee cha Wasamburu
Urais Tanzania: Gombo Samandito
Mgombea wa Zanzibar: Ali Hassan Mwinyi
Uchaguzi Tanzania na ahadi Lukuki