Ikiwa zimebaki siku kadhaa kuelekea Uchaguzi Mkuu nchini Tanzania, Waislamu walioshiriki Ibada ya Ijumaa katika misikiti mbalimbali nchini humo wametakiwa kujitokeza kwa wingi na kupiga kura huku wito wa amani ukisisitizwa.

01:27

01:27
Tazama Video zaidi
Tazama Video zaidi