3 Desemba 2025
Akizungumza enzi za uhai wake katika harusi moja jijini Dar es Salaam, Tanzania, mwezi wa Juni 2025, Raila Odinga alisimulia jinsi alivyowahi kusafiri kwa kutumia hati ya kusafiria ya iliyokuwa Tanganyika wakati huo (hivi sasa Tanzania), kuelekea Ulaya kwa ajili ya masomo.
Hii ni baada ya serikali ya kikoloni ya wakati huo nchini Kenya kukataa kumpa pasipoti

