3 Desemba 2025
Nafasi yake ya kijiografia inaipa umuhimu mkubwa kimataifa, hasa kwa kuwa inapakana na Mlango wa Bahari wa Hormuz.
Nnchi ya Iran pia ina utajiri mkubwa wa rasilimali za asili, hasa mafuta na gesi asilia.
Taifa hili linashikilia nafasi ya pili duniani kwa akiba ya gesi asilia, na miongoni mwa mataifa yenye akiba kubwa ya mafuta.

