| Swahili
Kasi ya biashara yapungua jijini Dar es Salaam Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
01:34
Afrika
Kasi ya biashara yapungua jijini Dar es Salaam Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Jiji la kibiashara la Dar es Salaam nchini Tanzania linafahamika kama kitovu cha biashara nchini humo. Mbali na biashara mbalimbali zinazofanyika lakini bandari kuu ya nchi hiyo pia iko jijini Dar es Salaam.

Mbali na biashara mbalimbali zinazofanyika lakini bandari kuu ya nchi hiyo pia iko jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya Watanzania wamekuwa wakitoa maoni yao kuhusu hali ilivyo kwa sasa.

Tazama Video zaidi
Magdalena Shauri : Dada anayepepea miongoni mwa vigogo wa riadha duniani
Gabriel Geay : Nyota wa riadha wa Tanzania 'Moto wa kuotea mbali'
Kiuno mkabaji Thomas Partey
Prince Harry ni Nani?
Mafao anayostahiki Nchimbi
John Welle: Kizazi kipya kinachopeperusha bendera ya Tanzania katika riadha
Kocha Yaya Toure
Ainua mkono wake juu kwa miaka 53 kuushusha chini
Edwin Watenya Sifuna ni nani?
Gerrard: Mwamba wa Liverpool