1 Oktoba 2025
Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama cha ADC Hamad Rashid amesema kuwa iwapo atachaguliwa kuwa rais wa Zanzibar basi ataweka mikakati ya kupungua kwa bei ya chakula ikiwemo mchele.