3 Desemba 2025
Takwimu zinaonyesha kuwa Afrika ilizalisha tani 450,000 za asali, ikiwa ni na takriban asilimia 20 ya uzalishaji wa kimataifa.
Nchi tano zinazoongoza kwa uzalishaji wa asali barani Afrika ni; Ethiopia, Tanzania, Kenya, Uganda na Rwanda.

