AFRIKA
1 DK KUSOMA
Mkurugenzi wa WHO Afrika aipongeza Rwanda kukabiliana na Marburg
Moeti aliwasili nchini Rwanda siku ya Oktoba 15 kwa nia ya kujionea namna nchi hiyo inavyokabiliana na ugonjwa huo.
Mkurugenzi wa WHO Afrika aipongeza Rwanda kukabiliana na Marburg
Mkurugenzi wa WHO Afrika, Dkt Matshidiso Moeti akiwa katika kikao cha pamoja na Waziri wa Afya wa Rwanda, Sabin Nsanzimana./Picha:  @MoetiTshidi / Others
16 Oktoba 2024