27 Oktoba 2025
Raia katika visiwa vya Pemba na Unguja wapo tayari kushiriki uchaguzi siku ya Jumanne Oktoba 28, 2025.
Tofauti na Tanzania bara, zoezi la upigaji kura visiwani Zanzibar hufanyika mapema, huku ukihusisha watendaji wanaosimamia majukumu ya uchaguzi siku ya uchaguzi.
