Wachunguzi wapekua eneo la ajali ya ndege iliyomuua Mkuu wa Jeshi la Libya
Libya imetangaza siku tatu za maombolezo ya kitaifa kufuatia vifo vya makamanda wake wakuu wa jeshi katika ajali ya ndege iliokuwa inasafiri kutoka mji mkuu wa Uturuki, Ankara siku ya Jumanne.
Maafisa wa kijeshi wa Libya waliofariki katika ajali ya ndege / TRT Afrika Swahili
25 Desemba 2025
Salamu za rambirambi zinaendelea kutolewa huku uchunguzi ukiendelea ili kubaini chanzo cha ajali hiyo.Hawa hapa ni maafisa waliofariki katika ajali hiyo